Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
SawaMwenye hekima na busara hujifunza kutokana na makosa ya watu wengine lakini mtu mpumbavu hujifunza kwa uzoefu wake
Usikubali kukwamishwa na vikwazo.
Maisha ni vita. Unapokubali kukwama unakuwa umekubali maisha yamekushinda.
Usikubali kutoka relini.
KOMAA.
Usikubali kukwamishwa na vikwazo.
Maisha ni vita. Unapokubali kukwama unakuwa umekubali maisha yamekushinda.
Usikubali kutoka relini.
KOMAA.
Kazi ni utu.
Jitahidi sana kufanya kazi.
Popote pale ulipo. Anzia hapo.
Kazi itakupa thamani maishani.
Sio lazima uajiriwe. Fanya kazi.
Mengine yatajipa mbele ya safari

πππUsikubali kukwamishwa na vikwazo.
Maisha ni vita. Unapokubali kukwama unakuwa umekubali maisha yamekushinda.
Usikubali kutoka relini.
KOMAA.