myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Daima tafuta kuanza enzi mpya ili kuwa na kitu cha kukimbiza maishani.
Ukiona jambo haliendi vile inafaa, jitafute na uanze enzi mpya.
SawasawaUkimya ni silaha yenye nguvu. Kujua wakati sahihi wa kunyamaza kunaweza kukuokoa na matatizo mengi yasiyo ya lazima. Si kila hali inahitaji majibu wakati mwingine, ukimya husema zaidi kuliko Maneno
👍👍Ukimya ni silaha yenye nguvu. Kujua wakati sahihi wa kunyamaza kunaweza kukuokoa na matatizo mengi yasiyo ya lazima. Si kila hali inahitaji majibu wakati mwingine, ukimya husema zaidi kuliko Maneno
👍👍👍Ukimya ni silaha yenye nguvu. Kujua wakati sahihi wa kunyamaza kunaweza kukuokoa na matatizo mengi yasiyo ya lazima. Si kila hali inahitaji majibu wakati mwingine, ukimya husema zaidi kuliko Maneno
SawaDaima tafuta kuanza enzi mpya ili kuwa na kitu cha kukimbiza maishani.
Ukiona jambo haliendi vile inafaa, jitafute na uanze enzi mpya.
Sawa kabisaMaarifa ni kujua nini cha kusema. Hekima ni kujua muda gani unapaswa kusema au kutosema kwa maana kusikiliza kuna faida kuliko kuongea sana.
📌📌Wakati unachambua kile kilichosemwa, Misemo ya hekima jitahidi pia umchambue na aliyekisema..
Maaifa huongozaMaarifa ni kujua nini cha kusema. Hekima ni kujua muda gani unapaswa kusema au kutosema kwa maana kusikiliza kuna faida kuliko kuongea sana.
📌📌Wakati unachambua kile kilichosemwa, Misemo ya hekima jitahidi pia umchambue na aliyekisema..
Maisha yanahitaji utulivu na busara. Usihadaike na vitu vinavyoonekana vizuri kwa nje, wakati ndani vinaweza kuwa sumu. Chunguza, fahamu, kisha amua kwa hekima
Hekima hutegemea sana wingi na ufundi wa dhana na maneno. Wingi na ufundi wa maneno hutegemea upana wa kamusi yako. Upana wa kamusi yako hutegemea idadi ya vitabu ulivyosoma, idadi ya watu uliokutana na kuzungumza nao na wingi wa maeneo uliyotembelea katika maisha. Hekima si UMRI

✔️✔️✔️Hekima hutegemea sana wingi na ufundi wa dhana na maneno. Wingi na ufundi wa maneno hutegemea upana wa kamusi yako. Upana wa kamusi yako hutegemea idadi ya vitabu ulivyosoma, idadi ya watu uliokutana na kuzungumza nao na wingi wa maeneo uliyotembelea katika maisha. Hekima si UMRI
🙏🙏Bora hekima kuliko nguvu,lakini hekima ya maskini hudharauliwa wala maneno yake hayasikilizwi...Mhubiri 9:16.
🤲🤲Bora hekima kuliko nguvu,lakini hekima ya maskini hudharauliwa wala maneno yake hayasikilizwi...Mhubiri 9:16.
Maisha yanahitaji utulivu na busara. Usihadaike na vitu vinavyoonekana vizuri kwa nje, wakati ndani vinaweza kuwa sumu. Chunguza, fahamu, kisha amua kwa hekima
SawasawaUsikimbilie mwanga bila kuelewa chanzo chake, sio kila kinachong'aa ni dhahabu."
Usikimbilie mwanga bila kuelewa chanzo chake, sio kila kinachong'aa ni dhahabu."
Akili ni uwezo wa kujifunza mambo mapya.
Hekima ni uwezo wa kujifunza maarifa yasiyo ya lazima.