Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23]sasa mbona unakimbiwa??
Hanikimbiagi jamaniii!!! nsamaka ni mdogo sana kubaki nyumbani yeye na mtoto huwa anaogopaga sana...eneo la makazi yetu ni heka tatu,majirani wako mbali sana,so nikisafiri inakuwa shida kwake,you know!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwahiyo anakimbilia kwa majirani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…