myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
✔️✔️✔️Exposure ni kitu muhimu sana maishani, kama kauwezo kapo tembea tembea sehemu mbali mbali huko duniani lazima kuna mambo utajifunza tu
✅️✅️USIOMBE NA KILILIA MUHUSIANO.
Mahusiano yanajengwa, siyo kuombwa - acheni uhusiano ukuwe kwa njia ya asili.
Usikate Tamaa
Changamoto ni sehemu ya maisha, lakini usiruhusu zikuangushe. Endelea kupambana, jifunze kutokana na makosa yako, na tumia kila fursa unayopata kwa umakini. Mafanikio yanahitaji uvumilivu, juhudi, na mipango thabiti usisubiri fursa, tafuta fursa!
📌📌USIOMBE NA KILILIA MUHUSIANO.
Mahusiano yanajengwa, siyo kuombwa - acheni uhusiano ukuwe kwa njia ya asili.
USIOMBE NA KILILIA MUHUSIANO.
Mahusiano yanajengwa, siyo kuombwa - acheni uhusiano ukuwe kwa njia ya asili.
Maombi na Sala
Mafanikio ya kweli yanahitaji baraka za Mungu. Kuwa mtu wa maombi na sala ili upate mwongozo na kuepushwa na anasa zisizo na maana. Imarisha imani yako kwa kujikita katika maadili mazuri ambayo yatakusaidia kuwa mtu bora kwa jamii

Jiwekee Nidhamu ya Fedha
Pesa ni rasilimali muhimu, hivyo hakikisha unaitumia kwa hekima. Jifunze kuweka akiba, epuka matumizi yasiyo ya lazima, na tafuta njia za kuongeza kipato chako hata kama ni kwa kufanya kazi ndogo ndogo. Nidhamu ya fedha itakusaidia kuwa na uhuru wa kifedha katika siku za baadaye

✔️✔️✔️KAMWE USILE SEHEMU YA MWISHO YA KITU AMBACHO HUJAKINUNUA.
Kama hukununua wewe mfano mkate na mnakula pamoja, kipande cha mwisho, kausha jombaa.
SAWASAWA ✔️Jiwekee Nidhamu ya Fedha
Pesa ni rasilimali muhimu, hivyo hakikisha unaitumia kwa hekima. Jifunze kuweka akiba, epuka matumizi yasiyo ya lazima, na tafuta njia za kuongeza kipato chako hata kama ni kwa kufanya kazi ndogo ndogo. Nidhamu ya fedha itakusaidia kuwa na uhuru wa kifedha katika siku za baadaye
Chanzo kingine cha unyonge, fadhaa na msongo wa mawazo katika maisha yetu ni kuwa na idadi kubwa ya watu wetu kwenye maisha na kushindwa kuzungumza mambo muhimu yanayotutatiza
✅️✅️KAMWE USILE SEHEMU YA MWISHO YA KITU AMBACHO HUJAKINUNUA.