myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
🙏🙏Jioni njema mliokuwa maofisini leo
🙏🙏Jioni njema mliokuwa safarini leo
🙏🙏🙏Jioni njema mliokuwa sokoni dukani gengeni saluni na hotelini leo
🙏🙏🙏Jioni njema wadau wa daladala bodaboda bajaji na kwenye vivuko
AminJioni njema wakulima wafugaji wavuvi na wamachinga wote
🙏🙏🙏Jioni njema wakusoma na waalimu wenu
AminMungu atupe jioni njema yenye amani na utulivu 🤲 🙏