myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mtu asiyepitia majaribu hawezi kujua nguvu zake, maana dhoruba huifunua siyo tu udhaifu bali pia uimara wa bahari
✅️✅️Mtu asiyepitia majaribu hawezi kujua nguvu zake, maana dhoruba huifunua siyo tu udhaifu bali pia uimara wa bahari
Mtu asiyepitia majaribu hawezi kujua nguvu zake, maana dhoruba huifunua siyo tu udhaifu bali pia uimara wa bahari
Unapotafuta pesa tumia akili, Unapotumia pesa tuliza akili, Pesa ulizonazo kwenye account yako zisikufanye ujione fahari, Kuna mtu alizitumia pesa hizo hizo kunusuru Uhai wake Hospital lakini alitoka akiwa ni Maiti Tayari
Bahari ni pana sana; ukichagua kupita na mtumbwi wako, hakikisha hautikisi mtumbwi wa mwenzako
✔️✔️✔️Bahari ni pana sana; ukichagua kupita na mtumbwi wako, hakikisha hautikisi mtumbwi wa mwenzako
Unapotafuta pesa tumia akili, Unapotumia pesa tuliza akili, Pesa ulizonazo kwenye account yako zisikufanye ujione fahari, Kuna mtu alizitumia pesa hizo hizo kunusuru Uhai wake Hospital lakini alitoka akiwa ni Maiti Tayari
SawasawaMkumbushe mwanao kwamba sio kila masikini ni mvivu wa kutafuta
✅️✅️Mkumbushe mwanao kwamba sio kila masikini ni mvivu wa kutafuta
Kukata Tamaa Ni Adui Yetu Mbaya Zaidi Na Ikiwa Tutampa Nafasi Ya Kutuangusha Hatutaweza Kufanya Chochote Kilicho Bora Kwenye Maisha Yetu
✔️✔️✔️Kukata Tamaa Ni Adui Yetu Mbaya Zaidi Na Ikiwa Tutampa Nafasi Ya Kutuangusha Hatutaweza Kufanya Chochote Kilicho Bora Kwenye Maisha Yetu
Unapotafuta pesa tumia akili, Unapotumia pesa tuliza akili, Pesa ulizonazo kwenye account yako zisikufanye ujione fahari, Kuna mtu alizitumia pesa hizo hizo kunusuru Uhai wake Hospital lakini alitoka akiwa ni Maiti Tayari
✅️✅️Kukata Tamaa Ni Adui Yetu Mbaya Zaidi Na Ikiwa Tutampa Nafasi Ya Kutuangusha Hatutaweza Kufanya Chochote Kilicho Bora Kwenye Maisha Yetu
✔️✔️✔️Fanya kila siku kuwa mwanzo mpya, usiruhusu yaliyopita yakuzuie kutoka kufikia malengo yako. Ibada ni siku ya kushukuru kwa kile ulichopata na kujipanga kwa mafanikio yajayo.
✅️✅️Jiamini, ndoto zako zinaweza kuwa halisi kama ukichukua hatua ya kwanza huwezi kufanikisha ndoto kubwa kwa mawazo madogo kuwa tayari kupambana"--Ruge mutahaba
✔️✔️✔️samehe,Sahau Kisha Songa mbele.Hatua zako Maishani zinahitaji Amani zaidi Kuliko chuki Unayoihifadhii
✅️✅️Jiamini, ndoto zako zinaweza kuwa halisi kama ukichukua hatua ya kwanza huwezi kufanikisha ndoto kubwa kwa mawazo madogo kuwa tayari kupambana"--Ruge mutahaba
samehe,Sahau Kisha Songa mbele.Hatua zako Maishani zinahitaji Amani zaidi Kuliko chuki Unayoihifadhii