myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Ndugu Kumbuka "Uaminifu ni Gharama Sana Sio Kila Mtu Anaweza Akawa Nao." Ukiaminiwa Aminika
Huduma bora unayotoa kwa wateja , kujibu maswali Yao na kutoa suluhisho la matatizo ya wateja wako kutasaidia kujenga uaminifu wa mteja wako
✅️✅️Huduma bora unayotoa kwa wateja , kujibu maswali Yao na kutoa suluhisho la matatizo ya wateja wako kutasaidia kujenga uaminifu wa mteja wako
Ndugu Kumbuka "Uaminifu ni Gharama Sana Sio Kila Mtu Anaweza Akawa Nao." Ukiaminiwa Aminika
✅️✅️✅️Fursa ni dhamana kubwa Ukiaminiwa, itumie kwa uaminifu na bidii. Kazi zako nzuri ndizo zitakazokutangaza na kukufungulia milango katika vyumba vilivyojaa fursa
Fursa ni dhamana kubwa Ukiaminiwa, itumie kwa uaminifu na bidii. Kazi zako nzuri ndizo zitakazokutangaza na kukufungulia milango katika vyumba vilivyojaa fursa
Uaminifu ni msingi wa kila kitu. Ukipoteza ni vigumu kuurudisha na utapoteza vingi sana kwenye maisha yako. Linda uaminifu wako ni Hazina ya thamani
📌📌📌Fursa ni dhamana kubwa Ukiaminiwa, itumie kwa uaminifu na bidii. Kazi zako nzuri ndizo zitakazokutangaza na kukufungulia milango katika vyumba vilivyojaa fursa
Uaminifu ni msingi wa kila kitu. Ukipoteza ni vigumu kuurudisha na utapoteza vingi sana kwenye maisha yako. Linda uaminifu wako ni Hazina ya thamani
Uaminifu ukipotea harudi tena,ukiutafuta na kuupata unakuta teyari umeshabadilika na kuwa wasiwasi jitahidi kuaminika pale tu unapo aminiwa"
Katika maisha mafanikio hayakutegemei wewe peke yako ila pia yanategemea umezungukwa na watu waaminifu kiasi gani iwe katika kazi au biashara. Tumuombe Mungu atukutanishe na watu sahihi ambao ni WAAMINIFU KWASABABU HAKUNA SHULE INAYOFUNDISHA UAMINIFU.'~Mwl Mwakasege
📌📌Katika maisha mafanikio hayakutegemei wewe peke yako ila pia yanategemea umezungukwa na watu waaminifu kiasi gani iwe katika kazi au biashara. Tumuombe Mungu atukutanishe na watu sahihi ambao ni WAAMINIFU KWASABABU HAKUNA SHULE INAYOFUNDISHA UAMINIFU.'~Mwl Mwakasege
✅️✅️Unapo aminiwa katika jambo lolote jitahidi sana kuwa mwaminifu uaminifu unaweza kukupa maisha ambayo elimu haiwezi kukupa
SawasawaUnapo aminiwa katika jambo lolote jitahidi sana kuwa mwaminifu uaminifu unaweza kukupa maisha ambayo elimu haiwezi kukupa
SawasawaUnapo aminiwa katika jambo lolote jitahidi sana kuwa mwaminifu uaminifu unaweza kukupa maisha ambayo elimu haiwezi kukupa
Uaminifu ni Kama chombo cha udongo , ukivunjika tu hauunganishiki kamwe , msamaha utapewa lakini kuaminika huwa ni Mara moja tu ukizingua zaidi ya hapo uaminiki tena
✅️✅️Usaliti ni mwizi wa kimya kimya. Inachukua zaidi ya uaminifu; inaiba hatia ya kuamini watu bila woga. Inakuacha ukitilia shaka kila kitu ambacho ulifikiri unajua kuhusu upendo, uaminifu na muunganisho. Sio tu kitendo kinachokusumbua, lakini mawazo kwamba hujawahi kuiona kutoka kwa mtu ambaye ulifikiri hawezi kukuumiza
Usaliti ni mwizi wa kimya kimya. Inachukua zaidi ya uaminifu; inaiba hatia ya kuamini watu bila woga. Inakuacha ukitilia shaka kila kitu ambacho ulifikiri unajua kuhusu upendo, uaminifu na muunganisho. Sio tu kitendo kinachokusumbua, lakini mawazo kwamba hujawahi kuiona kutoka kwa mtu ambaye ulifikiri hawezi kukuumiza
✅️✅️Usaliti ni mwizi wa kimya kimya. Inachukua zaidi ya uaminifu; inaiba hatia ya kuamini watu bila woga. Inakuacha ukitilia shaka kila kitu ambacho ulifikiri unajua kuhusu upendo, uaminifu na muunganisho. Sio tu kitendo kinachokusumbua, lakini mawazo kwamba hujawahi kuiona kutoka kwa mtu ambaye ulifikiri hawezi kukuumiza
✅️✅️Kama anaonyesha kujali basi anakuamini, ukitenda tofauti na matarajio yake kuna gharama utalipia uaminifu na kujali kwake