moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
✅️✅️Maarifa ni nuru Inayo kuongoza kuelekea haki, na ujinga ni giza linalo kufanya upotee
Maarifa ni nuru Inayo kuongoza kuelekea haki, na ujinga ni giza linalo kufanya upotee
📌📌Jinsi unavyo mafanikio pambana na kujitaidi kujitafuta, ndivyo na wewe unavyo tafutwa.
SahihiHakuna aibu katika Kukosea, lakini aibu ni kushindwa kuomba msamaha.
Asiye yamiliki matamanio yake hata imiliki
akili yake.
Asiye yamiliki matamanio yake hata imiliki
akili yake.
KweliKila pumzi ni hatua ya kuelekea Kifo.
usipoteze muda wako kwa mambo yasiyo na manufaa.
SahihiKila pumzi ni hatua ya kuelekea Kifo.
usipoteze muda wako kwa mambo yasiyo na manufaa.
✔️✔️Kila pumzi ni hatua ya kuelekea Kifo.
usipoteze muda wako kwa mambo yasiyo na manufaa.
Jinsi unavyo mafanikio pambana na kujitaidi kujitafuta, ndivyo na wewe unavyo tafutwa.
Ukizaliwa familia masikini tambua tayari uko kwenye vita amabayo ukiishiwa risasi hakuna msaada kutoka kwa walio nyuma yako.
SahihiWengi wanao kupenda kwenye raha ndio maadui zako siku ukifilisika.
Ukizaliwa familia masikini tambua tayari uko kwenye vita amabayo ukiishiwa risasi hakuna msaada kutoka kwa walio nyuma yako.