myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Maisha Yako ya nje hayata badilika mpaka ubadishe kile kilichoko ndani ya moyo wako, kama ndani una jiona sungura nje hatuta kuona simba.
Maisha ni safari na kila mtu ana njia yake, usiwahukumu watu kwa uchaguzi wao
Maisha Yako ya nje hayata badilika mpaka ubadishe kile kilichoko ndani ya moyo wako, kama ndani una jiona sungura nje hatuta kuona simba.
Kweli kabisaMali Yako Ya Thamani Zaidi Ni Afya Yako, Kupima Afya Mara Kwa Mara Ni Muhimu ili Kuidumisha Afya Yako.
SawasawaSiku yako ikifika huta walaumu tena walio kukataa bali uta washukuru kwa maamuzi yao.
NakumbukaUsisahau kuwa ukiamua kuwa furahisha watu kweli wata furahi lakini wewe utabaki na hasara.
SawaSiku yako ikifika huta walaumu tena walio kukataa bali uta washukuru kwa maamuzi yao.
ππMali Yako Ya Thamani Zaidi Ni Afya Yako, Kupima Afya Mara Kwa Mara Ni Muhimu ili Kuidumisha Afya Yako.
βοΈβοΈMoja ya mbinu ya kuishi na rafiki asiye mtunza siri uwe una mwambia mambo ambayo sio siri.
β οΈβ οΈβ οΈMoja ya mbinu ya kuishi na rafiki asiye mtunza siri uwe una mwambia mambo ambayo sio siri.
Moja ya mbinu ya kuishi na rafiki asiye mtunza siri uwe una mwambia mambo ambayo sio siri.
Moja ya mbinu ya kuishi na rafiki asiye mtunza siri uwe una mwambia mambo ambayo sio siri.
Matatizo ni fursa ya kufanya kilicho bora zaidi.
ππ€²Furaha sio kumiliki kila kitu jitahidi sana uwe na Amani ya Moyo haya mengine Mungu atayaleta tu.
βοΈβοΈFuraha sio kumiliki kila kitu jitahidi sana uwe na Amani ya Moyo haya mengine Mungu atayaleta tu.
βοΈβοΈMatatizo ni fursa ya kufanya kilicho bora zaidi.
βοΈβοΈKamwe usi thubutu kujihesabia haki kwa kutazama dhambi za wengine.
β οΈβοΈKamwe usi thubutu kujihesabia haki kwa kutazama dhambi za wengine.
β οΈβ οΈKuna aina fulani ya watu ni lazima uwaache ili upige hatua.
Kuna aina fulani ya watu ni lazima uwaache ili upige hatua.