myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Furaha sio kumiliki kila kitu jitahidi sana uwe na Amani ya Moyo haya mengine Mungu atayaleta tu.
Mara nyingi nia na mipango kuu ya watu maishani ni kuwaumiza watu wengi kadiri wawezavyo, lakini nadhani kuna watu wazuri wa kutosha wanaosaidia kuifanya dunia kuwa mahali pazuri.

Kuna watu wame kua ndugu zetu moja kwa moja sababu ya nafsi zao za upendo juu yetu.
👍👍Usiwe mwepesi kulikatia tamaa jambo unalo liamini.
Kuna watu wame kua ndugu zetu moja kwa moja sababu ya nafsi zao za upendo juu yetu.
SawasawaWatu hutufunza zaidi kuliko vitabu.
Watu hutufunza zaidi kuliko vitabu.
SawaUsiwe mwepesi kulikatia tamaa jambo unalo liamini.
NakubalianaWatu hutufunza zaidi kuliko vitabu.
Mara nyingi nia na mipango kuu ya watu maishani ni kuwaumiza watu wengi kadiri wawezavyo, lakini nadhani kuna watu wazuri wa kutosha wanaosaidia kuifanya dunia kuwa mahali pazuri.
Ukizoea kusema uwongo kwa ujasiri na ukaaminika. Ipo siku utasema ukweli kwa machozi na usikusaidie.
Maisha ni bora sana ikiwa hakuna mtu anayejua chochote kukuhusu
Ukizoea kusema uwongo kwa ujasiri na ukaaminika. Ipo siku utasema ukweli kwa machozi na usikusaidie.
Neno la Mungu ni afya, na tena, ni uhai wa milli yetu.
Mara nyingi nia na mipango kuu ya watu maishani ni kuwaumiza watu wengi kadiri wawezavyo, lakini nadhani kuna watu wazuri wa kutosha wanaosaidia kuifanya dunia kuwa mahali pazuri.
✔️✔️✔️Maisha ni bora sana ikiwa hakuna mtu anayejua chochote kukuhusu
Ujumbe huu muhimuMatatizo ni sehemu ya maisha yetu, ukisubiri umalize shida zako ndio uenjoy maisha, utakufa ukisubiri hiyo furaha
👍👍👍Matatizo ni sehemu ya maisha yetu, ukisubiri umalize shida zako ndio uenjoy maisha, utakufa ukisubiri hiyo furaha