myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
π€²πNeno la Mungu ni afya, na tena, ni uhai wa milli yetu.
π€²πNeno la Mungu ni afya, na tena, ni uhai wa milli yetu.
SawaIshi na watu vizuri heshimiana nao shirikiana nao ila chelewa sana kuiaminisha nafsi yako kuwa hao ni rafiki zako mpaka pale nyakati zako ngumu zitakapo kutambulisha ni nani rafiki yako na nani mnajuana tu hii itakusaidia kuepuka maumivu yasiyo ya lazima
Tambo na majivuno kawaida yake huwa zinavuta uadui, zinavuta husda, zinavuta kiburi, na zinavuta chuki, Kiburi kikishaanza kutengenezeka ndani yako hata Mungu hawezi kukaa karibu yako na ni kitu ambacho kitaenda kukupotezea ulinzi na zile baraka ambazo ulipewa na Mungu

Two clever people can't fall in love True love needs one idiot.
Sawasawa βοΈTambo na majivuno kawaida yake huwa zinavuta uadui, zinavuta husda, zinavuta kiburi, na zinavuta chuki, Kiburi kikishaanza kutengenezeka ndani yako hata Mungu hawezi kukaa karibu yako na ni kitu ambacho kitaenda kukupotezea ulinzi na zile baraka ambazo ulipewa na Mungu
βοΈβοΈFocus on where you want to go, not where your currently are.
πππTwo clever people can't fall in love True love needs one idiot.
Ishi na watu vizuri heshimiana nao shirikiana nao ila chelewa sana kuiaminisha nafsi yako kuwa hao ni rafiki zako mpaka pale nyakati zako ngumu zitakapo kutambulisha ni nani rafiki yako na nani mnajuana tu hii itakusaidia kuepuka maumivu yasiyo ya lazima
Duh..siasa hizo.
Kweli kabisaKuna baadhi ya watu Mungu anawazuia wasikusaidie ili wasije kukusimanga na kukusumbua mbele ya safari.