Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ukishajua kila kitu kinaenda na riski basi utaacha kulalamika ovyo, kilicho chako kitabaki kua chako na kisicho chako kamwe hakiwezi kua chako
 
Ukikiheshimu sana kitu hakikisha hukisogelei na ukikisogelea hakikisha haukizoei. Mazoea yana tabia ya kufanya vitu visivyo vya kawaida kuonekana kawaida. Na kitu kikishakuwa cha kawaida sana mbele zako kinakosa thamani. Hakikisha unaviheshimu vitu vyako vya heshima vikiwa mbali
 
Jitahidi Sana Kuishi Na Watu Vizuri Kwani Kuna Muda Heshima Na Nidhamu Vinaweza Kukupeleka Sehemu Ambayo Bidii Haiwezi Kukufikisha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…