myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
β οΈβ οΈβ οΈ
βοΈβοΈβοΈ
β οΈβ οΈβ οΈ
πππmwamini mungu ipo siku utafanikiwa!.. maisha ni foleni! Kila siku inasogea!..jipe moyo
ππmwamini mungu ipo siku utafanikiwa!.. maisha ni foleni! Kila siku inasogea!..jipe moyo
βοΈβοΈβοΈ
Anza siku yako kwa shukrani na moyo wa ibada. Mwenyezi Mungu ndiye nguvu na msaada wetu katika kila jambo. Jipe moyo na utembee katika neema yake leo.

Kila aliyefanikiwa njia aliyoipita ilionekana kama haipitiki kabisa
β οΈβ οΈβ οΈ
Huu ni mwanzo mpya wa wiki, nafasi ya kuandika ukurasa mwingine wa mafanikio.
Kumbuka, safari ya mafanikio ina hatua ndogo ndogo β piga hatua moja kwa wakati, usikate tamaa.
Jipe moyo, tafuta maarifa mapya, na kuwa na bidii.
Uwe na Wiki njema yenye mafanikio!
Ngumu ni kuanza tu, wewe jipe moyo uanze, mwendelezo ni rahisi mno.
Hakuna linaloshindikana kwa mtu mwenye nia ya dhati! Kila siku ni nafasi mpya ya kujifunza, kukua, na kusonga mbele. Ukiweka bidii na moyo wako katika kila unachofanya, matokeo yatakuja. Usikate tamaa, jipe moyo na endelea mbele kwa ujasiri!
Kuna wakati unaweza ukaona mambo ni magumu lakini jipe moyo Mungu yuko upande wako ongeza bidii kwenye utaftaji utafanikiwa.