Ukipata muda wakufanya kazi fanya kama vile hutafanya tena yani jitoe kufanya vyema maana hakuna mafanikio yalio kuja kwa usingizi ni vile huwa hatusemi tuliyowahi pitia katika utafutaji wetu

Wanaokucheka,wanaokudharau,wasiokuamini,wanaokusema
Wanaokukatisha tamaa,hawa ni watu wa kawaida kabisa kwenye safari yako ya mafanikio.
Usipaniki wala kuwashangaa.Wapo ili kuthibitisha wanapata ushuhuda utakapofanikiwa.