Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
AiseeJamii hunawiri na tabasamu linatawala pale ambapo kuna amani katika mitaa yetu. Kumbuka, amani huanza na wewe
Mafanikio sio ufunguo wa furaha.
Furaha ndio ufunguo wa mafanikio.
Ukipenda unachofanya, utafanikiwa
Mafanikio ni kufikia malengo yako, Sio kuiga malengo ya watu wengine, Usijipime na mtu kwenye haya maisha kila mtu ananjia zake za kufika kwenye Mafanikio Yake.
Katika mafanikio yako unahitaji Watu muhimu Ili uweze kufika kule ulipokusudia kufika.
βοΈβοΈMafanikio ni kufikia malengo yako, Sio kuiga malengo ya watu wengine, Usijipime na mtu kwenye haya maisha kila mtu ananjia zake za kufika kwenye Mafanikio Yake.
Usiogope kushindwa, kwani kushindwa ni sehemu ya kujifunza. Kila changamoto unayopitia ni daraja la kukufikisha kwenye mafanikio. Endelea kusonga mbele, jifunze, na usikate tamaa
Ukiona furaha/ mafanikio ya mtu yanakupa mkereketo wa moyo, ujue ndo umeanza kua mchawi hivoooo, jitathmini.
Siri ya kuondokana na hofu katika vitu kuelekea mafanikio ni kufanya kile unacho kihofia.
Usiogope kushindwa, kwani kushindwa ni sehemu ya kujifunza. Kila changamoto unayopitia ni daraja la kukufikisha kwenye mafanikio. Endelea kusonga mbele, jifunze, na usikate tamaa
β οΈβ οΈSiri ya kuondokana na hofu katika vitu kuelekea mafanikio ni kufanya kile unacho kihofia.
β οΈβοΈUkipata muda wakufanya kazi fanya kama vile hutafanya tena yani jitoe kufanya vyema maana hakuna mafanikio yalio kuja kwa usingizi ni vile huwa hatusemi tuliyowahi pitia katika utafutaji wetu
βοΈβοΈβοΈUkipata muda wakufanya kazi fanya kama vile hutafanya tena yani jitoe kufanya vyema maana hakuna mafanikio yalio kuja kwa usingizi ni vile huwa hatusemi tuliyowahi pitia katika utafutaji wetu
Siri ya kuondokana na hofu katika vitu kuelekea mafanikio ni kufanya kile unacho kihofia.
β οΈβ οΈβ οΈVile unavyovitamani viwe katika maisha yako, hutavipata endapo utokata tamaa.
Na kuendeleaa kuamini katika mafanikio
ππVile unavyovitamani viwe katika maisha yako, hutavipata endapo utokata tamaa.
Na kuendeleaa kuamini katika mafanikio
πVile unavyovitamani viwe katika maisha yako, hutavipata endapo utokata tamaa.
Na kuendeleaa kuamini katika mafanikio