myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
DuhUkiona furaha/ mafanikio ya mtu yanakupa mkereketo wa moyo, ujue ndo umeanza kua mchawi hivoooo, jitathmini.
Uwezo wako wa kuweka malengo ndio ustadi mkuu wa mafanikio.
SawasawaMalengo hufungua akili yako chanya na kutoa mawazo na nguvu kwa ajili ya kufikia lengo."
AiseeWanaokucheka,wanaokudharau,wasiokuamini,wanaokusema
Wanaokukatisha tamaa,hawa ni watu wa kawaida kabisa kwenye safari yako ya mafanikio.
Usipaniki wala kuwashangaa.Wapo ili kuthibitisha wanapata ushuhuda utakapofanikiwa.
β οΈβ οΈKila mtu anayo njia yake ya mafanikio
Ni kweliKila mtu anayo njia yake ya mafanikio
Sawa kabisaKila mtu anayo njia yake ya mafanikio
Wanaokucheka,wanaokudharau,wasiokuamini,wanaokusema
Wanaokukatisha tamaa,hawa ni watu wa kawaida kabisa kwenye safari yako ya mafanikio.
Usipaniki wala kuwashangaa.Wapo ili kuthibitisha wanapata ushuhuda utakapofanikiwa.
Uwezo wako wa kuweka malengo ndio ustadi mkuu wa mafanikio.
βοΈβοΈβοΈKufanikiwa sio kuwa na hela tu, Hata kujitambua wewe ni nani, unatakiwa kufanya nini, unamarafiki wa aina gani, mnakaa maeneo gani na kwa muda gani,Hayo ni Mafanikio makubwa sana
Usiogope dunia imekuamini Mungu amebariki uwepo wako kila kitu Mungu amekuonyesha mema njia za mafanikio amekuonyesha mikono yako ameibariki. Maamuzi yako ndio yanasubiwa kuamua hatima yako Uwe nani Uwe wapi amua sasa katimize kile Mungu na Dunia wanasubiri toka kwako
β οΈβ οΈβ οΈUsiogope dunia imekuamini Mungu amebariki uwepo wako kila kitu Mungu amekuonyesha mema njia za mafanikio amekuonyesha mikono yako ameibariki. Maamuzi yako ndio yanasubiwa kuamua hatima yako Uwe nani Uwe wapi amua sasa katimize kile Mungu na Dunia wanasubiri toka kwako
SawasawaPambana Sana kwenye Kutafuta Mafanikio kwa Nguvu zote Bila kuogopa Mtu.
Halafu Ficha Mafanikio Yako Usiyaonyeshe Kwa Watu husda na Chuki zinakuja Na Mafanikio.
πβοΈπUsiogope dunia imekuamini Mungu amebariki uwepo wako kila kitu Mungu amekuonyesha mema njia za mafanikio amekuonyesha mikono yako ameibariki. Maamuzi yako ndio yanasubiwa kuamua hatima yako Uwe nani Uwe wapi amua sasa katimize kile Mungu na Dunia wanasubiri toka kwako
β οΈβ οΈβ οΈPambana Sana kwenye Kutafuta Mafanikio kwa Nguvu zote Bila kuogopa Mtu.
Halafu Ficha Mafanikio Yako Usiyaonyeshe Kwa Watu husda na Chuki zinakuja Na Mafanikio.
βοΈβοΈβοΈUsiogope dunia imekuamini Mungu amebariki uwepo wako kila kitu Mungu amekuonyesha mema njia za mafanikio amekuonyesha mikono yako ameibariki. Maamuzi yako ndio yanasubiwa kuamua hatima yako Uwe nani Uwe wapi amua sasa katimize kile Mungu na Dunia wanasubiri toka kwako
Pambana Sana kwenye Kutafuta Mafanikio kwa Nguvu zote Bila kuogopa Mtu.
Halafu Ficha Mafanikio Yako Usiyaonyeshe Kwa Watu husda na Chuki zinakuja Na Mafanikio.
Ujumbe huu muhimuKatika maisha ili uweze kwenda mbele kwa maana ya mafanikio ni lazima tujifunze kujipongeza SISI wenyewe hata kwa hatua ndogo ndogo TUNAZOPIGA kila siku kwenye safari ya kuyaishi malengo yetu kwa sababu zinatufanya TUWE WA UTOFAUTI KWA WENGINE.
πππKatika maisha ili uweze kwenda mbele kwa maana ya mafanikio ni lazima tujifunze kujipongeza SISI wenyewe hata kwa hatua ndogo ndogo TUNAZOPIGA kila siku kwenye safari ya kuyaishi malengo yetu kwa sababu zinatufanya TUWE WA UTOFAUTI KWA WENGINE.
β οΈβ οΈβ οΈKufanikiwa sio kuwa na hela tu, Hata kujitambua wewe ni nani, unatakiwa kufanya nini, unamarafiki wa aina gani, mnakaa maeneo gani na kwa muda gani,Hayo ni Mafanikio makubwa sana