myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
SawasawaMafanikio ni three dimensional thing.
1. Rohoni, maombi, ufunuo.
2. Akili/Ufahamu.
3. Mwilini, kazi.
Nakubaliana na hiliUkubwa wa mafanikio yako unategemea ukubwa wa juhudi na uvumilivu wako. Usikate tamaa, maana kila hatua unayopiga inakukaribisha kwenye ushindi wako
SahihiMafanikio ni three dimensional thing.
1. Rohoni, maombi, ufunuo.
2. Akili/Ufahamu.
3. Mwilini, kazi.
β οΈβ οΈUkubwa wa mafanikio yako unategemea ukubwa wa juhudi na uvumilivu wako. Usikate tamaa, maana kila hatua unayopiga inakukaribisha kwenye ushindi wako
Usichague Kazi" Huu msemo Ndiyo Chanzo cha Umasikini!
Usipochagua kazi inayokufaa, utaishia kufanya kazi isiyokujenga, itakuwa ya kulipa kodi tu, si kukupeleka kwenye mafanikio.
Chagua kazi inayokujenga, si ilimradi mshahara!

Safiiiii sana
SawasawaBinadamu wote tunayatamani mafanikio, Tofauti ni kwamba wote hatuwezi kuyaishi hayo maisha ya mafanikio
Kuna hii Tabia ya mtu kukufanya ujisikie Duni kwa kuwa tu Historia yako ya maisha haikunyooka kama zao, pigania kile unachokiamini kama hujapata mafanikio sasa ila una imani na Juhudi zako basi usikate Tamaa
kama unavyovua mawazo hasi, ndivyo unavyopanda mbegu za mafanikio. jipe nafasi ya kuwa bora zaidi
Kuna hii Tabia ya mtu kukufanya ujisikie Duni kwa kuwa tu Historia yako ya maisha haikunyooka kama zao, pigania kile unachokiamini kama hujapata mafanikio sasa ila una imani na Juhudi zako basi usikate Tamaa
Ukijaliwa kupata mafanikio yako usisahau ulipo toka mana wale uliosota nao kwenye mapambano ndio maadui wakubwa kesho
Ukijaliwa kupata mafanikio yako usisahau ulipo toka mana wale uliosota nao kwenye mapambano ndio maadui wakubwa kesho