Jifunze kufanya jambo ukiwa na mzuka.
Binadamu tunaishi kwa energy na frequency.
Kule unaweka attention yako, energy inaelekea huko.
Pale unapokuwa na shauku ya jambo hakikisha halipoi. Focus.
Ukifanya jambo na mzuka wa juu, utaweza kulifanikisha kwa urahisi zaidi.
Kumbuka siku ambazo huwa unakuwa na mzuka, mambo ambavyo huwa.