myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
UAMINIFU..Jenga uaminifu na uishi daima.
Uaminifu ni mtaji. Jiaminishe.
Tunazijua stori nyingi za watu waliofanikiwa kwa kuonesha uaminifu tu.
Kosa vyote kwa jamii, lakini usionekane usie mwaminifu.
Sawasawa βοΈDaima ishi kwa kuwatia wengine moyo.
Usiwe mchoyo. Usitake kutoka mwenyewe.
Kama una vijana wako chini yako.
Hakikisha unakuwa kiranja wa kweli.
Wafundishe na watie moyo wa kupambana.
Daima ishi kwa kuwatia wengine moyo.
Usiwe mchoyo. Usitake kutoka mwenyewe.
Kama una vijana wako chini yako.
Hakikisha unakuwa kiranja wa kweli.
Wafundishe na watie moyo wa kupambana.
Daima jihoji kwenye maisha yako.
Usikubali kuishi bila dira.
Weka malengo yako.
Kumbuka kujitafakari na kujihoji mwenyewe.
Hii itakupa majibu ya maswali mengi magumu.
Makinikia jambo moja.
Ni jambo jema kujua vitu vingi.
Unaweza kujua mambo mengi sana.
Jitahidi kuwa mtaalam wa jambo moja kwa undani sana.
Yaani kuwe na eneo, watu hawawezi kutoboa bila wewe.
Fungua njia yako mwenyewe.
Mara nyingi huwa tunahitaji msaada wa watu waliotutangulia.
Mara nyingi huwa tunatafuta kazi za kuanzia.
Ukumbuke malengo ni kufungua vyetu na kuwagusa wengi zaidi.
βοΈβοΈDaima jihoji kwenye maisha yako.
Usikubali kuishi bila dira.
Weka malengo yako.
Kumbuka kujitafakari na kujihoji mwenyewe.
Hii itakupa majibu ya maswali mengi magumu.
β οΈβ οΈFungua njia yako mwenyewe.
Mara nyingi huwa tunahitaji msaada wa watu waliotutangulia.
Mara nyingi huwa tunatafuta kazi za kuanzia.
Ukumbuke malengo ni kufungua vyetu na kuwagusa wengi zaidi.
Akili nzuri - mwili mzuri.
Kula vyema jenga mwili wako.
Unakuwa na ustawi kulingana na kile unakula na kuweka maishani mwako.
Kula vyema, jenga afya yako na ustawi wa akili.
βοΈβοΈβοΈFungua njia yako mwenyewe.
Mara nyingi huwa tunahitaji msaada wa watu waliotutangulia.
Mara nyingi huwa tunatafuta kazi za kuanzia.
Ukumbuke malengo ni kufungua vyetu na kuwagusa wengi zaidi.
β οΈβ οΈβ οΈAkili nzuri - mwili mzuri.
Kula vyema jenga mwili wako.
Unakuwa na ustawi kulingana na kile unakula na kuweka maishani mwako.
Kula vyema, jenga afya yako na ustawi wa akili.
Makinikia jambo moja.
Ni jambo jema kujua vitu vingi.
Unaweza kujua mambo mengi sana.
Jitahidi kuwa mtaalam wa jambo moja kwa undani sana.
Yaani kuwe na eneo, watu hawawezi kutoboa bila wewe.
Usikubali kukwamishwa na vikwazo.
Maisha ni vita. Unapokubali kukwama unakuwa umekubali maisha yamekushinda.
Usikubali kutoka relini.
KOMAA.
πππDaima tafuta kuanza enzi mpya ili kuwa na kitu cha kukimbiza maishani.
Ukiona jambo haliendi vile inafaa, jitafute na uanze enzi mpya.
Penda kazi yako.
Fanya kazi inayokupa satisfaction moyoni.
Usifanye tu kazi alimradi maisha yaende.
Kwa kuanza unaweza kuanza na kazi ya ku-survive.
Ukijipata hakikisha unafanya unachopenda. Au basi penda unachofanya.
Usikubali kukwamishwa na vikwazo.
Maisha ni vita. Unapokubali kukwama unakuwa umekubali maisha yamekushinda.
Usikubali kutoka relini.
KOMAA.
NAKUBALI HILIPenda kazi yako.
Fanya kazi inayokupa satisfaction moyoni.
Usifanye tu kazi alimradi maisha yaende.
Kwa kuanza unaweza kuanza na kazi ya ku-survive.
Ukijipata hakikisha unafanya unachopenda. Au basi penda unachofanya.
πππPenda kazi yako.