Hakuna aliesomea hekima na Busara, ishi vizuri na watu wote,mapungufu yao madogo madogo Wazee wanasema Ukubwa dawa, Kuwa tiba ya kukuondolea utoto na kukupa busara za kuficha mapungufu ya wengine, sio kwa sababu hayakuumizi, la hasha ni kwa sababu wewe pia una mapungufu yako