Ukikosa Mali Kuwa Na Hekima,Ukikosa Hekima Kuwa Na Mali,Vyote Hivi Vitakufanya Uhitajike Mbele Za Watu,Ukiwa Na Mali Utahitajika Kutatua Shida Mbalimbali,Na Ukiwa Na Hekima Utahitajika Pia Kutatua Matatizo Mbalimbali,Ukikosa Vyote Hautohitajika Sehemu Yoyote,Kuwa Na Kimoja Wapo