myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
πππNusu ya HEKIMA ni kunyamaza, nusu ya FURAHA ni kutokuchunguza ya wengine na nusu ya ADABU ni kutokuingilia yasiyokuhusu..
Usikate tamaa kuwa na uvumilivu Endelea kupambana hadi upate unachotaka. Usitegemee sana bahati. Bahati ni kwa wavivu na wale wanaoshindwa. Jitendee wema. Tengeneza bahati yako mwenyewe kwa kufanya Juhudi
Anaejua thamani yako, atakuthamini.. Usijilazimishe kukaa na wasiokuthamini.. Usijilazimishe kuishi usipopendwa.."
Tambua thamani yako

πππMaarifa ni kujua nini cha kusema. Hekima ni kujua muda gani unapaswa kusema au kutosema kwa maana kusikiliza kuna faida kuliko kuongea sana.
Ukikosa Mali Kuwa Na Hekima,Ukikosa Hekima Kuwa Na Mali,Vyote Hivi Vitakufanya Uhitajike Mbele Za Watu,Ukiwa Na Mali Utahitajika Kutatua Shida Mbalimbali,Na Ukiwa Na Hekima Utahitajika Pia Kutatua Matatizo Mbalimbali,Ukikosa Vyote Hautohitajika Sehemu Yoyote,Kuwa Na Kimoja Wapo
Maarifa ni kujua nini cha kusema. Hekima ni kujua muda gani unapaswa kusema au kutosema kwa maana kusikiliza kuna faida kuliko kuongea sana.
Ukikosa Mali Kuwa Na Hekima,Ukikosa Hekima Kuwa Na Mali,Vyote Hivi Vitakufanya Uhitajike Mbele Za Watu,Ukiwa Na Mali Utahitajika Kutatua Shida Mbalimbali,Na Ukiwa Na Hekima Utahitajika Pia Kutatua Matatizo Mbalimbali,Ukikosa Vyote Hautohitajika Sehemu Yoyote,Kuwa Na Kimoja Wapo
Ukikosa Mali Kuwa Na Hekima,Ukikosa Hekima Kuwa Na Mali,Vyote Hivi Vitakufanya Uhitajike Mbele Za Watu,Ukiwa Na Mali Utahitajika Kutatua Shida Mbalimbali,Na Ukiwa Na Hekima Utahitajika Pia Kutatua Matatizo Mbalimbali,Ukikosa Vyote Hautohitajika Sehemu Yoyote,Kuwa Na Kimoja Wapo
Ukikosa Mali Kuwa Na Hekima,Ukikosa Hekima Kuwa Na Mali,Vyote Hivi Vitakufanya Uhitajike Mbele Za Watu,Ukiwa Na Mali Utahitajika Kutatua Shida Mbalimbali,Na Ukiwa Na Hekima Utahitajika Pia Kutatua Matatizo Mbalimbali,Ukikosa Vyote Hautohitajika Sehemu Yoyote,Kuwa Na Kimoja Wapo
Daima usijipendekeze kwa watu wasiojua thamani yako. Jisogeze kwa watu wanaoijua thamani yako.. "
Hekima ya Kweli ni kutambua kwamba hujui sana. Busara ya kweli inatokana na unyenyekevu na kuelewa kuwa kuna mengi ya kujifunza
Mbegu inapopandwa, inakua kimya kimya, lakini mti unapoanguka husikika kwa kelele kubwa. Uharibifu hutoa kelele, lakini uumbaji hutokea kwa kimya. Hii ni nguvu ya ukimya. Kua kimya, lakini nguvu zako zitazungumza.

βοΈβοΈβοΈMbegu inapopandwa, inakua kimya kimya, lakini mti unapoanguka husikika kwa kelele kubwa. Uharibifu hutoa kelele, lakini uumbaji hutokea kwa kimya. Hii ni nguvu ya ukimya. Kua kimya, lakini nguvu zako zitazungumza.
Akili ako inapoona haiwezekan ndipo MUNGU anapofungua njia