myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Kwenye kumbukumbu zako ambazo ni za muhimu sana kwako naomba na hii uikumbuke vile vile babu alisema sehem inayohitaji hekima na busara usitumie nguvu na hasira maana vyote vinaweza kuleta matokeo lakini hayatakuwa sawa

👍👍👍Akili ni uwezo wa kujifunza mambo mapya.
Hekima ni uwezo wa kujifunza maarifa yasiyo ya lazima.
✅️✅️✅️✅️ukiona adui zako wameungana kukushambulia; usirudi nyuma ujue unalotenda ni sahihi."
👍👍ukiona adui zako wameungana kukushambulia; usirudi nyuma ujue unalotenda ni sahihi."
Akili ni uwezo wa kujifunza mambo mapya.
Hekima ni uwezo wa kujifunza maarifa yasiyo ya lazima.
📌📌Akili ni uwezo wa kujifunza mambo mapya.
Hekima ni uwezo wa kujifunza maarifa yasiyo ya lazima.
Jenga busara na hekima, chelea kuropoka, kuwa na kiasi. Panda kilicho bora uvune uzima na mfanikio ili usijekataa mavuno yako na kusingizia mkosi
Fungua fikra zako ili upate maarifa mapya kutoka kwa watu wa kila rika na nafasi. Elimu yako inapaswa kuwa daraja la kukuza, si kigezo cha majivuno. Tambua kuwa kila mtu ana kitu cha kukufundisha, hata wale wasio na elimu rasmi. Usidharau hekima ya maisha kutoka kwa watu wengine

Nakubaliana na weweFungua fikra zako ili upate maarifa mapya kutoka kwa watu wa kila rika na nafasi. Elimu yako inapaswa kuwa daraja la kukuza, si kigezo cha majivuno. Tambua kuwa kila mtu ana kitu cha kukufundisha, hata wale wasio na elimu rasmi. Usidharau hekima ya maisha kutoka kwa watu wengine
Epuka Kiburi cha Elimu
Elimu si mwisho wa safari, wala si kigezo cha kujiona bora kuliko wengine. Kiburi cha elimu kinaweza kukufanya usijifunze tena, hasa toka kwa wale walio na uzoefu au hekima zaidi.

✔️✔️Kauli zako huumba, hasa zikitamkwa kwa hisia kali. Unenacho leo, kwa kusudi au habati mbaya, hupanda mbegu katika mustakabali wako
✔️✔️✔️Msamaha hauhalalishi makosa bali unakupa nafasi ya kujifunza na kubadilika
NakubaliHakikisha unajivunia kila hatua unayochukua hata kama ni ndogo