myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
ππUsiku mwema walezi wa familia
ππUsiku mwema mamalishe wote
ππUsiku mwema wadau wa daladala bodaboda bajaji na kwenye vivuko
ππUsiku mwema wadau wa sokoni dukani gengeni saluni na hotelini
ππUsiku mwema wakusoma na waalimu wenu maandalizi ya kesho
Usiku mwema wakulima wafugaji wavuvi na wamachinga wote, maandalizi ya kesho
ππUsiku mwema wafanyakazi wa maofisini maandalizi ya kesho
ππMungu awaponye wagonjwa wote π π€²
AminMungu atupe afya na uzima π π€²
AminMungu atupe usiku wenye amani na utulivu π€² π