myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
MUHIMU
Kuwa mkomavu wa kutosha kudhibiti hisia zako. Jifunze kuguswa kidogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwa mkomavu wa kutosha kudhibiti hisia zako. Jifunze kuguswa kidogo
Kuwa mkomavu wa kutosha kudhibiti hisia zako. Jifunze kuguswa kidogo
Usijilinganishe na maisha ya watu wengine kila mtu anafanikwa kwa wakati wake
Familia unayounda ni muhimu zaidi kuliko familia unayotoka.
Usijilinganishe na maisha ya watu wengine kila mtu anafanikwa kwa wakati wake
Usijilinganishe na maisha ya watu wengine kila mtu anafanikwa kwa wakati wake
📌📌📌Jifunze nidhamu na uthabiti na uangalie maisha yako yakibadilika
NakubalianaMzunguko wako wa marafiki unatakiwa ujivunie, sio wivu.
SawasawaUsikate tamaa kuwa na uvumilivu Endelea kupambana hadi upate unachotaka. Usitegemee sana bahati. Bahati ni kwa wavivu na wale wanaoshindwa. Jitendee wema. Tengeneza bahati yako mwenyewe kwa kufanya Juhudi
SawasawaJifunze nidhamu na uthabiti na uangalie maisha yako yakibadilika
SawasawaUsikate tamaa kuwa na uvumilivu Endelea kupambana hadi upate unachotaka. Usitegemee sana bahati. Bahati ni kwa wavivu na wale wanaoshindwa. Jitendee wema. Tengeneza bahati yako mwenyewe kwa kufanya Juhudi
✅️✅️✅️Kuwa Mwenye Mnyenyekevu, Kuwa Na Ufahamu Lakini Usiwe Mjinga
Usikate tamaa kuwa na uvumilivu Endelea kupambana hadi upate unachotaka. Usitegemee sana bahati. Bahati ni kwa wavivu na wale wanaoshindwa. Jitendee wema. Tengeneza bahati yako mwenyewe kwa kufanya Juhudi
NAKUBALIKuwa Mwenye Mnyenyekevu, Kuwa Na Ufahamu Lakini Usiwe Mjinga
✔️✔️✔️Uaminifu ni msingi wa kila kitu. Ukipoteza ni vigumu kuurudisha na utapoteza vingi sana kwenye maisha yako. Linda uaminifu wako ni Hazina ya thamani
Usikate tamaa kuwa na uvumilivu Endelea kupambana hadi upate unachotaka. Usitegemee sana bahati. Bahati ni kwa wavivu na wale wanaoshindwa. Jitendee wema. Tengeneza bahati yako mwenyewe kwa kufanya Juhudi
📌📌📌Uaminifu ni msingi wa kila kitu. Ukipoteza ni vigumu kuurudisha na utapoteza vingi sana kwenye maisha yako. Linda uaminifu wako ni Hazina ya thamani
Sawasawa kabisaUkipata mtu anayekwambia ukweli pale unapokosea usimjengee chuki, usivunje Kioo chako
Mwanga hauhitaji kuwa mkali ili kuangaza giza. Hata mwanga mdogo wa tumaini unaweza kuleta mabadiliko makubwa. Endelea kung'aa, haijalishi hali ilivyo
👍👍👍Mwanga hauhitaji kuwa mkali ili kuangaza giza. Hata mwanga mdogo wa tumaini unaweza kuleta mabadiliko makubwa. Endelea kung'aa, haijalishi hali ilivyo