myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Wakati Unamuomba Mungu Akupe Mafanikio Usisahau Kuomba Akupe Hekima Ya Kuishi Na Watu Vizuri Maana Vitu Vingi Tunavyovihitaji Vipo Mikononi Mwa Watu
Wakati Unamuomba Mungu Akupe Mafanikio Usisahau Kuomba Akupe Hekima Ya Kuishi Na Watu Vizuri Maana Vitu Vingi Tunavyovihitaji Vipo Mikononi Mwa Watu
πππAmini Kwamba "Mungu alitaka ukifungua mipango, hamna mwanadamu anayeweza kuweka kizuizi"
Upepo mkali hauzimwi kwa kupiga kelele, bali kwa kuelewa mwelekeo wake na kuutumia vyema
βοΈβοΈβοΈUkianza tu safari ya kuboresha maisha yako,basi kutooleweka na watu ndio gharama ambayo inabidi ulipe.
πππKila Siku Unayoamka, Una Nafasi Ya Kujaribu Tena.
SawasawaUkianza tu safari ya kuboresha maisha yako,basi kutooleweka na watu ndio gharama ambayo inabidi ulipe.
SawaUkianza tu safari ya kuboresha maisha yako,basi kutooleweka na watu ndio gharama ambayo inabidi ulipe.