myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Kula chakula bora na kufanya mazoezi walau Nusu saa tu kila siku uepukane na magonjwa yasiyo ya kuambukiza hasa uzito mkubwa, kisukari na presha.
📌📌Kula chakula bora na kufanya mazoezi walau Nusu saa tu kila siku uepukane na magonjwa yasiyo ya kuambukiza hasa uzito mkubwa, kisukari na presha.
📌📌Mara nyingi wanaokwamisha mishe zako ni watu wanaokufahamu vizuri
Jitahidi kuwa msiri kwenye mipango yako ya maisha
📌📌📌Mara nyingi wanaokwamisha mishe zako ni watu wanaokufahamu vizuri
Jitahidi kuwa msiri kwenye mipango yako ya maisha
Mafanikio ni tafsiri ya mtu husika, Kuna mtu mafanikio yake ni kununua Baskeli, Mwingine Kununua Gari/Pikipiki, Mwingine Mafanikio yake ni kuoa tu. Kwahiyo tupunguze kujipa umuhimu kwenye Maisha ya watu na kwenye Mipango yao pia
Punguza kujipa umuhimu kwenye maisha ya watu, punguza ushauri na ujuaji kwenye maisha ya watu, elewa hivi watu wana mipango yao

Usifanye kila jambo kwa ajili ya pesa pekee. Mahusiano mazuri, afya, amani ya akili, na furaha ni vitu ambavyo haviwezi kununuliwa. Tafuta pesa kwa uhalali, lakini usiache utu wako kwa ajili ya fedha

Kuna wakati unalazimika uutue mzigo chini ili uupange upya upate kubebeka vizuri. Vivyo hivyo kwenye maisha, kuna nyakati huna budi kupukutisha baadhi ya watu katika maisha yako ili upate fursa ya kuwapanga upya waendane na muelekeo wa maisha yako. Kupangua nako pia ni kupanga!"

Mwana Maisha hutokea. Mipango inabadilika. Matarajio yanabadilika. Pata nguvu ya kusahihisha inavyohitajika. Kurekebisha na kushinda
Ifanyie kazi mipango yako, hangaikia maisha yako na familia yako na usiri uwepo katika mapito yako.
Kumbuka kuharibu mipango ya watu ni shughuli ya mwanadamu