myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
UVUMILIVU
Unapotafuta maisha, kuwa mvumlivu, mafanikio huenda sambamba na mipango ya MUNGU.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unapotafuta maisha, kuwa mvumlivu, mafanikio huenda sambamba na mipango ya MUNGU.
Ifanyie kazi mipango yako, hangaikia maisha yako na familia yako na usiri uwepo katika mapito yako.
Kumbuka kuharibu mipango ya watu ni shughuli ya mwanadamu
Ifanyie kazi mipango yako, hangaikia maisha yako na familia yako na usiri uwepo katika mapito yako.
Kumbuka kuharibu mipango ya watu ni shughuli ya mwanadamu
🙏🙏Unapotafuta maisha, kuwa mvumlivu, mafanikio huenda sambamba na mipango ya MUNGU.
Mwana Maisha hutokea. Mipango inabadilika. Matarajio yanabadilika. Pata nguvu ya kusahihisha inavyohitajika. Kurekebisha na kushinda
Unapotafuta maisha, kuwa mvumlivu, mafanikio huenda sambamba na mipango ya MUNGU.
SawaUgumu wa Maisha Hautupi Nafasi ya Kusubili Mipango ya Mungu Itimie
Mipango ya MUNGU.Ugumu wa Maisha Hautupi Nafasi ya Kusubili Mipango ya Mungu Itimie
NakubalianaUkitaka uheshimiwe, kuwa na pesa. Ukitaka upendwe, kuwa na tabia njema. Ukitaka uishi vizuri, kuwa na vyote viwili
📌📌Unapotafuta maisha, kuwa mvumilivu. Mafanikio huenda sambamba na mipango ya Mungu.” - Bob Proctor
✅️✅️Unapotafuta maisha, kuwa mvumilivu. Mafanikio huenda sambamba na mipango ya Mungu.” - Bob Proctor
Maisha ni mipango ukishindwa kupanga utaishia kutumika, kwenye mipango ya watu waliyopanga, mipango yao.
Ukitaka uheshimiwe, kuwa na pesa. Ukitaka upendwe, kuwa na tabia njema. Ukitaka uishi vizuri, kuwa na vyote viwili
Maisha ni mipango ukishindwa kupanga utaishia kutumika, kwenye mipango ya watu waliyopanga, mipango yao.
Hakuna Kitu Chochote Kinaweza Kuzuia Mipango Ya MUNGU Kwenye Maisha Yako.
USIOGOPE
✔️✔️Maisha ni mipango ukishindwa kupanga utaishia kutumika, kwenye mipango ya watu waliyopanga, mipango yao.
👍👍Hakuna Kitu Chochote Kinaweza Kuzuia Mipango Ya MUNGU Kwenye Maisha Yako.
USIOGOPE
Hatua ndogo katika mwelekeo sahihi inaweza kuishia kuwa hatua kubwa zaidi ya maisha yako.
Kukosea ni ishara kwamba unajaribu mambo mapya,Makosa katika harakati za kutafuta kipato ni zawadi inayokufundisha nini hakifanyi kazi usikirudie,Ni heri kujaribu ukakosea kuliko kulala kusubiri miujiza ambayo haiwezekani kutokea,Fanya ukosee rekebisha Kisha songa mbele usiogope