myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Maisha yamejaa changamoto—kupoteza biashara, usaliti wa ndugu, marafiki au mapenzi, yote yanaweza kukuvunja moyo. Lakini usikate tamaa, jipanguse vumbi na songa mbele. Kila maumivu ni fursa ya kukujenga kuwa imara zaidi. Mungu akuongoze na akutunze, shujaa! Stay blessed.

✅️✅️Maisha yamejaa changamoto—kupoteza biashara, usaliti wa ndugu, marafiki au mapenzi, yote yanaweza kukuvunja moyo. Lakini usikate tamaa, jipanguse vumbi na songa mbele. Kila maumivu ni fursa ya kukujenga kuwa imara zaidi. Mungu akuongoze na akutunze, shujaa! Stay blessed.
Ikiwa una ndoto, usiruhusu ukimya wa watu wengine ukufanye uache kujaribu. Jitume, songa mbele, na siku moja mlango wako wa bahati utafunguka
USIOGOPE KUKOSEA Kukosea ni ishara kwamba unajaribu mambo mapya,Ni kheri kujaribu ukakosea kuliko kulala ukingojea miujiza ambayo haiwezekani kutokea. FANYA UKOSEE, REKEBISHA KISHA SONGA MBELE
Maisha yamejaa changamoto—kupoteza biashara, usaliti wa ndugu, marafiki au mapenzi, yote yanaweza kukuvunja moyo. Lakini usikate tamaa, jipanguse vumbi na songa mbele. Kila maumivu ni fursa ya kukujenga kuwa imara zaidi. Mungu akuongoze na akutunze, shujaa! Stay blessed.
USIOGOPE KUKOSEA Kukosea ni ishara kwamba unajaribu mambo mapya,Ni kheri kujaribu ukakosea kuliko kulala ukingojea miujiza ambayo haiwezekani kutokea. FANYA UKOSEE, REKEBISHA KISHA SONGA MBELE
Kuna watu wanakuja katika maisha yako kwa ajili ya kujifunza na kukufundisha kitu. Usiumie moyo sana pale hao watu wanaposogea mbali kwa kuwa muda wa kujifunza na kukufundisha utakuwa umepita. Kikubwa songa mbele. Ipo siku mambo yote yakuwa sawa. Mungu ni mwaminifu

Haijalishi nani kakukataa Au kukuacha njiani wewe songa mbele Hatima zetu hazipo kwenye wale waliotuacha na kutukataa. Hatima zetu ziko mikononi mwa Mungu na wale watu sahihi ataleta kwetu
Samehe, sahau kisha songa mbele. Hatua zako maishani zinahitaji amani zaidi kuliko chuki unayoihifadhi.” - Sri Chinmoy
Ukifanya jambo usisubiri matokeo,songa mbele matokeo mazuri yanatabia ya kumkimbilia Mtu!
Ndoto zako zinatimia kwa bidii yako. Zikabili changamoto, songa mbele kwa kujiamini, na mafanikio yatakujia
Haijalishi nani kakukataa Au kukuacha njiani wewe songa mbele Hatima zetu hazipo kwenye wale waliotuacha na kutukataa. Hatima zetu ziko mikononi mwa Mungu na wale watu sahihi ataleta kwetu
Ndoto zako zinatimia kwa bidii yako. Zikabili changamoto, songa mbele kwa kujiamini, na mafanikio yatakujia
Samehe, sahau kisha songa mbele. Hatua zako maishani zinahitaji amani zaidi kuliko chuki unayoihifadhi.” - Sri Chinmoy
Maisha ni kama MWAMBA: ni kazi yako kuyachonga kuwa kile unachotaka kuwa. Haijalishi umepokea mwamba wa aina gani, muhimu ni jinsi unavyouchonga
👍👍👍Maisha ni kama MWAMBA: ni kazi yako kuyachonga kuwa kile unachotaka kuwa. Haijalishi umepokea mwamba wa aina gani, muhimu ni jinsi unavyouchonga
Tafadhali zingatia na simamia matumizi yako ya fedha kwa umakini mkubwa sana. Siku hizi ni ngumu sana kupata mtu wa kukusaidia ukijikwaa na kuanguka