Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Kama ambavyo upepo mkali unaacha kuvunja maua mafupi ya kondeni, na kuangusha miti mirefu. Tambua kuwa ukikaribia kuchipua kimafanikio hata kidogo ndipo utaona mishale mikali ikitupwa juu yako kutoka kwa ndugu na marafiki ili kukuangusha.