Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
✔️ ✔️Jifunze kujiweza, jiweze wewe mwenyewe
Maisha yana mambo mengi sio kila wakati utapata unayoyatarajia
✔️✔️Kama ambavyo upepo mkali unaacha kuvunja maua mafupi ya kondeni, na kuangusha miti mirefu. Tambua kuwa ukikaribia kuchipua kimafanikio hata kidogo ndipo utaona mishale mikali ikitupwa juu yako kutoka kwa ndugu na marafiki ili kukuangusha.
KweliKama ambavyo upepo mkali unaacha kuvunja maua mafupi ya kondeni, na kuangusha miti mirefu. Tambua kuwa ukikaribia kuchipua kimafanikio hata kidogo ndipo utaona mishale mikali ikitupwa juu yako kutoka kwa ndugu na marafiki ili kukuangusha.
SAWATupambane sana wakuu bila kukata tamaa nyuma yetu kuna kundi la watu linategemea mafanikio yetu.
Tupambane sanaTupambane sana wakuu bila kukata tamaa nyuma yetu kuna kundi la watu linategemea mafanikio yetu.
....jiweze wewe..Jifunze kujiweza, jiweze wewe mwenyewe
Maisha yana mambo mengi sio kila wakati utapata unayoyatarajia
UKO SAWATupambane sana wakuu bila kukata tamaa nyuma yetu kuna kundi la watu linategemea mafanikio yetu.
NAKUBALI HILI..Wakati mwingine safari ya peke yako ndiyo itakufanya mtu imara zaidi na kukufikisha mahali ambapo hukuwahi kufikiri unaweza kufika..
....Watu wenye faidaHakikisha marafiki wanaokuzunguka ni watu wenye faida kwako, punguza kampani za kijinga, kampani za kulewa pamoja na kususiana nyakati za Shida.
✅✅Wakati mwingine safari ya peke yako ndiyo itakufanya mtu imara zaidi na kukufikisha mahali ambapo hukuwahi kufikiri unaweza kufika..
Maisha yana mambo..Jifunze kujiweza, jiweze wewe mwenyewe
Maisha yana mambo mengi sio kila wakati utapata unayoyatarajia
Maisha yana mambo..Wakati mwingine safari ya peke yako ndiyo itakufanya mtu imara zaidi na kukufikisha mahali ambapo hukuwahi kufikiri unaweza kufika..
Tupambane sanaTupambane sana wakuu bila kukata tamaa nyuma yetu kuna kundi la watu linategemea mafanikio yetu.
UJUMBE MZITOUnapoeneza uongo juu ya mwingine ni sawa na kumnyonyoa kuku huku ukitembea na kuyaacha manyoya yapeperushwe na upepo na hata ukiambiwa umsafishe kwa uongo uliousema ni ngumu kama kuyakusanya yale manyoya kwa sababu yameshasambazwa na upepo.
KWELI...Hakuna kitu kinachoweza kurudi na kuwa kama zamani, Iweke akilini sentensi hii kabla hauja kipoteza kitu kizuri unacho Miliki Sasa.