myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
SAHIHI..Kuna muda boti la maisha yako litapitia mitikisiko jifunze kutulia bila kupanic. Katikati ya kutulia njia huwa inapatikana au kuna muda boti tu lenyewe linachoka kuyumba yumba linatulia lenyewe
Hakuna kitu kinachoweza kurudi kama zamani..Hakuna kitu kinachoweza kurudi na kuwa kama zamani, Iweke akilini sentensi hii kabla hauja kipoteza kitu kizuri unacho Miliki Sasa.
KWELI..Kuna muda boti la maisha yako litapitia mitikisiko jifunze kutulia bila kupanic. Katikati ya kutulia njia huwa inapatikana au kuna muda boti tu lenyewe linachoka kuyumba yumba linatulia lenyewe
HILI NENO..Unapoeneza uongo juu ya mwingine ni sawa na kumnyonyoa kuku huku ukitembea na kuyaacha manyoya yapeperushwe na upepo na hata ukiambiwa umsafishe kwa uongo uliousema ni ngumu kama kuyakusanya yale manyoya kwa sababu yameshasambazwa na upepo.
Siogopi kuanzisha jambo..Usiogope kuanzisha jambo unalo ona litakuletea maendeleo kisa linafanywa na watu wengi
SAWA KABISA.Usiogope kuanzisha jambo unalo ona litakuletea maendeleo kisa linafanywa na watu wengi
..remain calm.Train your heart and mind to remain calm regardlessly
....ukweli mchunguHili halisemwi tu kwa sababu ni ukweli mchungu kua hayo maisha unaishi ni udanganyifu mtupu aidha unajidanganya mwenyewe au umedanganywa au unadanganya wengine
.....ukweli mchungu.Hili halisemwi tu kwa sababu ni ukweli mchungu kua hayo maisha unaishi ni udanganyifu mtupu aidha unajidanganya mwenyewe au umedanganywa au unadanganya wengine
...Kuna mahali upoKuna mahali upo, sio kama unastahili kuwepo hapo lakini ndio njia ya kukufikisha unapotakiwa kuwa. Paheshimu.
SAWA..Hakikisha unakaa sehemu unayosherehekewa na sio unayovumiliwa
....kupambana zaidi.Wakati mwingine kujiwekea matarajio makubwa kunatupa chachu ya kupambana zaidi.
....kupambana zaidi.Kama kuanguka kupo juwa kabisa kwa hakika kusimama pia kupo Kama kwa namna yoyote ile unaona kushindwa kwenye mambo yako nakuhakikishia kushinda pia kupo nyakati zisikuaminishe kwenye upande mmoja maisha ni kama shilingi kila upande una sura yake KAZA
SAHIHI...Wakati mwingine kujiwekea matarajio makubwa kunatupa chachu ya kupambana zaidi.
SAWASAWA..Maisha ni vita usishangae watu wako wa karibu sana ndio hawapendi kukuona ukifanikiwa.
UJUMBE HUOO..Kioo kinachomsaidia dereva kutazama mbele ni kikubwa kuliko vioo viwili vya pembeni vinavyomsaidia kuangalia nyuma..Tutumie nguvu nyingi kuangalia tunakokwenda kuliko tulikotokaNyuma pangekuwa muhimu Mungu angetuwekea macho kisogoni