Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
AminJioni njema wafanyakazi wa maofisini
AminJioni njema wakulima wafugaji wavuvi na wamachinga wote kesho nayo siku
ππJioni njema mliokuwa maofisini leo
ππJioni njema wakusoma na waalimu wenu
ππJioni njema wadau wa sokoni dukani gengeni saluni na hotelini, kesho nayo siku
ππJioni njema mliokuwa safarini leo
ππJioni njema wakulima wafugaji wavuvi na wamachinga wote
ππJioni njema wadau wa daladala bodaboda bajaji na kwenye vivuko, uangalifu na umakini muhimu