myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Moja ya kitu kigumu kwenye maisha yako ni kuwa aminisha watu kuwa hauko vilewalivyo kuwa wanakujua hapo kabla. Ishi maisha yako.
Kuwa makini shida zina tabia ya kukutanisha na watu tuliowadharau
Moja ya kitu kigumu kwenye maisha yako ni kuwa aminisha watu kuwa hauko vilewalivyo kuwa wanakujua hapo kabla. Ishi maisha yako.
Zawadi kubwa katika uhusiano wowote ule ni uaminifu na kuheshimiana."
Kuwa makini shida zina tabia ya kukutanisha na watu tuliowadharau
Unapopambana Na Umaskini Usisahau Kulinda Afya Yako Kwa Maan Afya Ni Bora Kuliko Utajiri...
Safiiiii sana
Aisee..☎☎☎Haki ya kufanya mapenzi na mkeo na sio malaya☎☎☎