Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Nyumba yako ndogo ni ndoto ya wasio na makaazi, Chakula chako ni ndoto ya mtu mwenye Njaa, Afya yako ni ndoto ya mgonjwa,Usiruhusu nyakati ngumu zikufanye usahau Baraka ulizonazo
AiseeKatika umri wa miaka kuanzia 16, 17, 18, 19, 20, 21 &22Sio rahisi, Utapoteza marafiki, Utafanya makosa mengi, Utaanguka, Utafeli, Ila utagundua vitu vingi na utakuwa Mwenye nguvu sana.HAKIKA HIYO NI MIAKA BORA YA MAISHA YAKO