myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Usione Aibu kwa jinsi ulivyo anza Maisha, Kikubwa jitahidi usiwe pale pale.
Hatakama watakidharau unachofanya, kama kwako kinakupa Faida,
USIACHE KUFANYA
βοΈβοΈβοΈ
β οΈβ οΈUsione Aibu kwa jinsi ulivyo anza Maisha, Kikubwa jitahidi usiwe pale pale.
Usione Aibu kwa jinsi ulivyo anza Maisha, Kikubwa jitahidi usiwe pale pale.
πππWaelewe, Wasikilize, Wavumilie, ila Hakikisha Watambue Kuwa wewe Sio Mtu Dhaifu.
KUWA IMARA KWA LOLOTE LILE
MapambanoKuna vitu vingi kwenye maisha vina thamani kuliko Pesa, ila huwezi kuviona kama Hauna Pesa.
USICHOKE KUPAMBANA
βοΈβοΈKwa maana hata maamuzi sahihi yanaweza yasiwe sahihi endapo yakichelewa kutekelezwa.
Maisha ni mchezo wa muda,
UHESHIMU MUDA ILI MUDA UKUHESHIMU
β οΈβ οΈKwa maana hata maamuzi sahihi yanaweza yasiwe sahihi endapo yakichelewa kutekelezwa.
Maisha ni mchezo wa muda,
UHESHIMU MUDA ILI MUDA UKUHESHIMU
Kwa maana hata maamuzi sahihi yanaweza yasiwe sahihi endapo yakichelewa kutekelezwa.
Maisha ni mchezo wa muda,
UHESHIMU MUDA ILI MUDA UKUHESHIMU
Nyakati ngumu za maisha yako zitakupa Maarifa yote ambayo elimu ilishindwa kukupa.
β οΈβ οΈβ οΈ