myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Aibu ya nini
Usione Aibu kwa jinsi ulivyo anza Maisha, Kikubwa jitahidi usiwe pale pale.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usione Aibu kwa jinsi ulivyo anza Maisha, Kikubwa jitahidi usiwe pale pale.
Hatakama watakidharau unachofanya, kama kwako kinakupa Faida,
USIACHE KUFANYA
✅️✅️Usione Aibu kwa jinsi ulivyo anza Maisha, Kikubwa jitahidi usiwe pale pale.
Usione Aibu kwa jinsi ulivyo anza Maisha, Kikubwa jitahidi usiwe pale pale.
👍👍👍Waelewe, Wasikilize, Wavumilie, ila Hakikisha Watambue Kuwa wewe Sio Mtu Dhaifu.
KUWA IMARA KWA LOLOTE LILE
MapambanoKuna vitu vingi kwenye maisha vina thamani kuliko Pesa, ila huwezi kuviona kama Hauna Pesa.
USICHOKE KUPAMBANA
✔️✔️Kwa maana hata maamuzi sahihi yanaweza yasiwe sahihi endapo yakichelewa kutekelezwa.
Maisha ni mchezo wa muda,
UHESHIMU MUDA ILI MUDA UKUHESHIMU
✅️✅️Kwa maana hata maamuzi sahihi yanaweza yasiwe sahihi endapo yakichelewa kutekelezwa.
Maisha ni mchezo wa muda,
UHESHIMU MUDA ILI MUDA UKUHESHIMU
Kwa maana hata maamuzi sahihi yanaweza yasiwe sahihi endapo yakichelewa kutekelezwa.
Maisha ni mchezo wa muda,
UHESHIMU MUDA ILI MUDA UKUHESHIMU
Nyakati ngumu za maisha yako zitakupa Maarifa yote ambayo elimu ilishindwa kukupa.