myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
ππIkawe siku ya baraka na mafanikio kwenye utafutaji wako.
β οΈβ οΈKimya cha mtu mwenye malengo ni kelele kwa wasio na dira
Jifunze kusema sawa bila kubisha, jufunze kuwa mpole bila kukasirika kwani maisha hayaita kujiona Bora Kwenye kila kitu
βοΈβοΈUsikimbilie mafanikio bali panda hatua kwa hatua kuyafikia
β οΈβ οΈβ οΈKimya cha mtu mwenye malengo ni kelele kwa wasio na dira
Jifunze kusema sawa bila kubisha, jufunze kuwa mpole bila kukasirika kwani maisha hayaita kujiona Bora Kwenye kila kitu
Wakati wakuona safari yako imejaa matumaini, imejaaa baraka,
Anza siku na Mungu maliza na Mungu.
SawaWakati wakuona safari yako imejaa matumaini, imejaaa baraka,
Anza siku na Mungu maliza na Mungu.
Hili sawaKimya cha mtu mwenye malengo ni kelele kwa wasio na dira
SawasawaWakati wakuona safari yako imejaa matumaini, imejaaa baraka,
Anza siku na Mungu maliza na Mungu.
Jifunze kusema sawa bila kubisha, jufunze kuwa mpole bila kukasirika kwani maisha hayaita kujiona Bora Kwenye kila kitu
Ukitaka kwenda juu kwenye maisha lazima ujifunze kuwa mpambanaji
Kuna maamuzi ili yaku letee Faida lazima yaku umize kwanza.
Ukitaka kwenda juu kwenye maisha lazima ujifunze kuwa mpambanaji
Yawezekana una rafiki, staff mwenzako, ndugu unaona kabisa wanaendana na rafiki, ndugu au huyo staff mwenzako basi kuwa daraja la hitaji hilo yawezekana unajua kabisa ni muhitaji wa ndoa basi kuwa baraka kwake na daraja la hilo

πππYawezekana una rafiki, staff mwenzako, ndugu unaona kabisa wanaendana na rafiki, ndugu au huyo staff mwenzako basi kuwa daraja la hitaji hilo yawezekana unajua kabisa ni muhitaji wa ndoa basi kuwa baraka kwake na daraja la hilo
Iwe siku yenye amani na utulivu π€² π00:09
Ijumaa
Feb 21 2025.
Siku nyingine