KILA MTU ANA CHA KUPIGANIA,
Kuna mtu yupo anapigania Afya saa hii,
Mwingine Anapigania Apate mtoto,
Mwingine Anapigania Utafiti wa kuibadilisha dunia,
Mwingine anapigania wewe ufeli kwenye mambo yako
Sisi Twende leo tukapiganie kesho yetu maana Tukifeli sisi wanafeli wengi