Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Jitahidi usiwe mwema sana kwao, sababu hata chumvi ni muhimu kwenye mboga ila ikizidi sana huaribu ladha ya mboga
Yaaan unakuta saa hz unakula maandazi na soda 😂 😂..... Afu huyo mtoto angekula nn kama sio mihogo 😂 😂 ya mia na pilipiliNingelea mkuu Sema mtoto angekula sana nyanya chungu 🤣