Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Dah Nimelia sana ukweli napenda sana mirinda, ila maandazi no maandazi ni mwendo wa mihogo ya 600 uji wa 200 jumla 800 siku imeishaYaaan unakuta saa hz unakula maandazi na soda π π..... Afu huyo mtoto angekula nn kama sio mihogo π π ya mia na pilipili