Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yaaan unakuta saa hz unakula maandazi na soda 😂 😂..... Afu huyo mtoto angekula nn kama sio mihogo 😂 😂 ya mia na pilipili
Dah Nimelia sana ukweli napenda sana mirinda, ila maandazi no maandazi ni mwendo wa mihogo ya 600 uji wa 200 jumla 800 siku imeisha
 
Back
Top Bottom