Habari mkuu
Poa sijui za weweSalama za kwako?
Huyu mganga jamani[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kichwa anahitaji maombi
carbamazepine nimekwambia jamaa kachanganyikiwa na mandunguli huyu
Mgonjwa et anaangalia tamthilia ya kifilipino.
Wakati mtoto kalala hapa natumia device yake nareply tu kama nsamaka maana yeye kalala.
Huyu mlevi wa konyagi mara hirizi ya njano nyekundu na pink achana nae
Hizi vuvuzela tu
Habari mzee,nsamaka anaendeleaje?Loh!!! Wanawake wa mtandaoni,inye kubwa hadi milango na ukuta vimepinda[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Tena tumpeleke kwa Tb joshua[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Namshukuru Mungu bado navuta pumz paspo malipoPoa sijui za wewe
Piga le selfie tuamini la sivyo itakua umedoda[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mzee mwenzangu
Photoshop kazini lol