myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
👍👍👍Usiharakishe kufungua milango mingine wakati hujamaliza kazi muhimu kwa ngazi uliyopo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
👍👍👍Usiharakishe kufungua milango mingine wakati hujamaliza kazi muhimu kwa ngazi uliyopo.
NAKUBALIANA NA WEWEUsiharakishe kufungua milango mingine wakati hujamaliza kazi muhimu kwa ngazi uliyopo.
Mama ni chanzo cha upendo, uthabiti, furaha, uvumilivu na utashi kwenye familia
👍👍Unafanya vitu kutokana na fikra na mtazamo wako.
Ni kazi chache sana zenye kiwango kikubwa cha ubora, heshima, upendo, furaha na ukamilifu kwa Mwanamke kama kuwa Mama na kulea familia.
Ni kazi chache sana zenye kiwango kikubwa cha ubora, heshima, upendo, furaha na ukamilifu kwa Mwanamke kama kuwa Mama na kulea familia.
Familia ni zao kubwa na lenye thamani isiyonunulika maishani.
📌📌Unafanya vitu kutokana na fikra na mtazamo wako.
👍👍Jenga busara na hekima, chelea kuropoka, kuwa na kiasi. Panda kilicho bora uvune uzima na mfanikio ili usijekataa mavuno yako na kusingizia mkosi.
✔️✔️Jenga busara na hekima, chelea kuropoka, kuwa na kiasi. Panda kilicho bora uvune uzima na mfanikio ili usijekataa mavuno yako na kusingizia mkosi.
✅️✅️Utakuwa huru zaidi pale utakapotambua kuwa vizuzi pekee kwenye maisha yako ni fikra na mtazamo wako.
Utakuwa huru zaidi pale utakapotambua kuwa vizuzi pekee kwenye maisha yako ni fikra na mtazamo wako.
✔️👍✔️Unachambua kila hali na mazingira kutokana na fikra na mtazamo wako.
Unachuja dunia na mambo yake kwa fikra na mtazamo wako.
Jenga busara na hekima, chelea kuropoka, kuwa na kiasi. Panda kilicho bora uvune uzima na mfanikio ili usijekataa mavuno yako na kusingizia mkosi.
Boresha fikra, usihuishe vitu usivyovitaka maishani mwako
Ujumbe huu muhimuMaisha ni kama baiskeli, ili usianguke, ni lazima uendelee kusonga mbele, zaidi pale kwenye milima (changamoto).
Kauli zako huumba, hasa zikitamkwa kwa hisia kali. Unenacho leo, kwa kusudi au habati mbaya, hupanda mbegu katika mustakabali wako.
Kauli zako huumba, hasa zikitamkwa kwa hisia kali. Unenacho leo, kwa kusudi au habati mbaya, hupanda mbegu katika mustakabali wako.