Utulivu wa akili haupo katika umiliki wa vitu au hali nzuri ya maisha , upo katika kujiona kesho inakuwa bora kuliko jana na leo kwenye hali ya maisha na umiliki wa vitu.Kwa lugha nyingine ni kuwa na uhakika wa usalama katika kupiga hatua mbele kutoka kwenye hali yoyote ile .