myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Akili ni uwezo wa kujifunza mambo mapya.
Hekima ni uwezo wa kujifunza maarifa yasiyo ya lazima.
Mtu yoyote ambae amekulia katika mazingira ya dini yoyote anakuwa na utulivu wa akili.
Mithali 22 6
Mlee mtoto katika njia impasayo,Naye hataiacha, hata atakapokuwa mzee.

Mazingira safi huleta utulivu wa akili, na mwili safi huleta afya bora. Kumbuka, usafi ni msingi wa amani na furaha ya kila siku

Unapuomba Mungu akupatie kazi ombea pia iwe kazi yenye mazingira mazuri yatakayokufanya ufikie malengo yako na ya mwajiri na sio kazi itakayo kufanya ukose amani ya moyo na utulivu wa akili.

Tumuombe Mungu atujalie utulivu wa akili na moyo pale tunapokubali vitu tusivyoweza kuvibadili, atupe ujasiri wa kubadili yale tunaweza kubadili na hekima ya kutambua tofauti ya yale tunaweza kubadili na tusiyoweza

Utulivu wa akili haupo katika umiliki wa vitu au hali nzuri ya maisha , upo katika kujiona kesho inakuwa bora kuliko jana na leo kwenye hali ya maisha na umiliki wa vitu.Kwa lugha nyingine ni kuwa na uhakika wa usalama katika kupiga hatua mbele kutoka kwenye hali yoyote ile .
Panga Siku Yako - Andika vipaumbele na malengo ya siku ili kuhakikisha unazingatia mambo muhimu
Fanya Mazoezi - Mazoezi hata ya dakika 15 yatakusaidia kuimarisha afya na kuongeza nguvu.