myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
AiseeUkikaa KIMYA wakati una HASIRA ni moja ya NGUZO ya UKOMAVU WA AKILI na Kipimo cha BUSARA na HEKIMA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AiseeUkikaa KIMYA wakati una HASIRA ni moja ya NGUZO ya UKOMAVU WA AKILI na Kipimo cha BUSARA na HEKIMA.
Amka Mapema - Anza siku yako mapema ili uwe na muda wa kutosha kupanga na kutekeleza majukumu
Omba au Tafakari - Chukua muda wa sala au kutafakari ili kujenga mtazamo chanya na utulivu wa akili.

Kunywa Maji - Kunywa glasi ya maji ili kuamsha mwili na kusaidia mfumo wa mmeng'enyo wa chakula

Ukikaa KIMYA wakati una HASIRA ni moja ya NGUZO ya UKOMAVU WA AKILI na Kipimo cha BUSARA na HEKIMA.
🤣🤣Nyuki Ni Nzi Aliyeamua Kuwa Serious Na Maisha
Ndugu, Jamaa Na Marafiki Wanaweza Kupanda Ndege Au Kuendesha Magari Yao Kutoka Umbali Mrefu Sana Kuja Kukuzika Lakini Hao Hao Hawawezi Kuja Kukusaidia Wakati Unawahitaji Msaada Wao Hata Kama Wanakaa Mtaa Wa Pili Kutoka Unapoishi…
Kuwa na utulivu wa moyo. Ukipoteza utulivu wa moyo kwasababu ya hasira, umemkosea Mungu, umewaudhi wengine, umejihangaisha mwenyewe, na mwishowe itakupasa kuutafuta tena utulivu wa moyo. Linda sana moyo wako, maana ndiko zitokako chemchemi za uzima

Wenye Nguvu Wanaungana Kumkabili Mnyonge, Wanyonge Hawaungani Kuwakabili Wenye Nguvu - Mwl Julius Nyerere
Kuwa na utulivu wa moyo. Ukipoteza utulivu wa moyo kwasababu ya hasira, umemkosea Mungu, umewaudhi wengine, umejihangaisha mwenyewe, na mwishowe itakupasa kuutafuta tena utulivu wa moyo. Linda sana moyo wako, maana ndiko zitokako chemchemi za uzima
Baadhi ya mambo ambayo yanaweza kukuletea maradhi ya akili;
1.Kufiwa au kuachwa na mke/mume,
2.Kufilisika ghafla,
3.Mateso au maumivu makali au matukio ya kutisha anayopitia mtu.
4. Maradhi mengine sugu yanayoathiri akili na mwili.
5.Siasa za Tanzania.
Kuwa na akili sana kuna faida & hasara. Faida ni unafanya vitu na mara nyingi vinafanikiwa, hasara ni hufanyi vitu mpaka uwe na uhakika wa kufanikiwa, mwisho wa siku unapoteza nafasi nyingi kwa uwoga. Utafanikiwa zaidi ukiwa na akili ya kujua wakati gani akili inakurudisha nyuma
Kuwa na akili ni pamoja na kuthamini vitu au kitu cha mtu wakati ambao hayupo hapo ama hakuoni kabisa. Kama huwezi kuthamini na kuheshimu mali ya mtu basi ujue unalo tatizo kubwa kiakili na kitabia
👍👍👍Baadhi ya mambo ambayo yanaweza kukuletea maradhi ya akili;