Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kweli kabisa
Ndugu, Jamaa Na Marafiki Wanaweza Kupanda Ndege Au Kuendesha Magari Yao Kutoka Umbali Mrefu Sana Kuja Kukuzika Lakini Hao Hao Hawawezi Kuja Kukusaidia Wakati Unawahitaji Msaada Wao Hata Kama Wanakaa Mtaa Wa Pili Kutoka Unapoishi…
 
✔️✔️
Kuwa na akili sana kuna faida & hasara. Faida ni unafanya vitu na mara nyingi vinafanikiwa, hasara ni hufanyi vitu mpaka uwe na uhakika wa kufanikiwa, mwisho wa siku unapoteza nafasi nyingi kwa uwoga. Utafanikiwa zaidi ukiwa na akili ya kujua wakati gani akili inakurudisha nyuma
 
Back
Top Bottom