Kila uchao, ukipanga mipango na kutimiza uwezo wako unakua. Ukifanya mara nyingi utajiamini na kuwa jasiri zaidi. Unachofanya hakiwi rahisi bali wewe unakuwa bora zaidi, maana utafanya kwa maarifa bila kutumia nguvu nyingi.
Vilevile, ukizoea kutotimiza malengo, utazoea kufeli!