Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Muda wako ndio rasilimali pekee inayopungua kila kukicha. Tumia vyema kila dakika, fanya vitu vinavyokujenga, vinavyokupeleka mbele. Vinavyokupa amani, vinavyokupa nguvu ya kuamka kila siku na kusema leo pia ni siku nyingine kubadilisha maisha yangu.